KWENYE gofu kuna maokoto ya hapa na pale na yamekuwa yakiwasaidia vijana kupunguza makali ya maisha, pia yanaongeza chachu ya nidhamu ya kazi na kujituma

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa kituo cha kupoza umeme cha Chalinze unaojumuisha

Same. Unaweza kuwa ni moja ya miamba ya aina yake kuwahi kuonekana nchini Tanzania unaopatikana katika Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, unaoonekana kama taswira ya

-Awataka watumie taarifa za na takwimu za sensa kuandaa mipango yao WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wadau wanaotekeleza afua mbalimbali za wanawake watumie

RIYADH, SAUDI ARABIA: HESHIMA mjini. Vijana wengi wanapenda kusema baada ya kupata mafanikio hasa pesa. Juzi usiku Mei 18, Aleksandr Usyk alimkalisha Tyson Fury pambano

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii, Mhe Mhe. Fatuma Toufiq (katikati) akieleza jambo wakati wa Kikao cha kuwajengea

Kila mtu humpenda mwingine. Vivyo hivyo, anaweza kumtaka au kutakiwa na mwingine. Hakuna asiyejua kupenda ingawa si wote wanaopenda ifaavyo na inavyotakiwa. Muhimu ni kujua

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania May 19, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post

Dar es Salaam. Umewahi kupangiwa mtindo wa maisha kwa masharti yaliyomo kwenye mkataba wa nyumba ya kupanga unayoishi au uliyowahi kuishi? Swali hili linaakisi uhalisia

Wakazi wa Kijiji cha Msomera, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga wamemshkuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan kwa maendeleo