Na Mwandishi Wetu MAHAKAMA ya Rufaa imetengua hukumu iliyotolewa na Mahakama kuu divisheni ya biashara katika moja ya kesi maarufu za mikopo chechefu baina

WINGA wa TP Mazembe, Philip Kinzumbi amezungumzia taarifa za kutakiwa na Yanga akisema kwa mzuka uliopo ndani ya timu hiyo ni vigumu kukataa ofa yao.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa Gongolamboto katika Jimbo la Ukonga mkoani Dar es salaam, Mei 18, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

SAKATA la ukosefu wa maji wilayani Momba mkoani Songwe limezidi kushika kasi baada Diwani wa Kata ya Ivuna – Bonde la Kamsamba, Erick Mkamba ‘Magazeti’

Dar es Salaam. Katika kuelekea maadhimisho ya Siku ya Hedhi Salama Duniani Mei 28 mwaka huu, wasichana kutoka shule mbalimbali za msingi na sekondari nchini

NYOTA wa Yanga, Djigui Diarra amempongeza kipa mwenzake wa Coastal Union Mkongomani Ley Matampi kutokana na ushindani anaompa katika Ligi Kuu Bara. Kauli ya Diarra

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) (katikati), akiongoza Mkutano wa 16 wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Fedha na Uchumi

KATIKA kulinda usalama wa nchi kupitia mpaka wa Songwe, Mkuu wa mkoa huo, Daniel Chongolo ametangaza ‘vita’ kwa wananchi watakaojihusisha na shughuli za uvushaji na

Pwani. Wafadhili kutoka Canada, wametoa Sh38 bilioni kusaidia shughuli za kilimo nchini kuhimili athari za mabadiliko ya tabianchi. Makali ya mabadiliko ya tabianchi yameendelea kuumiza

Na Mwandishi Wetu,Tanga NAIBU Waziri wa Nishati Judith Kapinga amegawa mitun gi ya gasi 1500 kwa wakazi wa Kijiji cha Msomela Handeni Wilayani Handeni