Arusha 18 Mei 2024 – Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha kwa kauli moja mapendekezo ya Bodi ya Wakurugenzi kuhusu malipo ya gawio la Shilingi

WAKILI Boniface Mwabukusi amesema kuwa hatorudi nyuma kuwatetea Watanzania na rasilimali zao licha ya uamuzi wa Kamati ya Maadili ya Mawakili kumpa onyo juu ya

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Wanariadha wa maarufu Tanzania na wale walifuzu kushiriki michezo ya Olimpiki, wameng’ara na kubeba katika mbio za Africa Day Marathon

Dar es Salaam. Vyuo vikuu na vya kati vimetakiwa kuanza maandalizi ya kulipokea kundi la kwanza la wanafunzi wanufaika wa mpango wa elimu bila ada

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Bodi ya nyama Tanzania (TMB) imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazotolewa na mfanyabiashara maarufu anayejiita Mr maguruwe kuhusu ufugaji wa nguruwe

Jina la Frank Komba sio geni na linafahamika sana na wadau wa mpira wa miguu kutokana na kile ambacho amekuwa akiufanyia mchezo huo. Huyu ni

Tanga. Imeelezwa kuwa, Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga, Bombo, haina daktari bingwa wa magonjwa ya dharura, hali inayosababisha huduma za kibingwa kushindwa kutolewa.

Klabu ya Azam FC imethibitisha kuwa itawakosa nyota wa kiungo mkabaji, Sospeter Bajana na beki wa kati, Malickou Ndoye kwa miezi minne baada ya kufanyiwa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akizungumza na Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wakati akifungua

BENKI ya NMB imeingia makubaliano rasmi (MoU) na Chama cha Wanawake Wamiliki wa Shule na Vyuo Tanzania (TAWOSCO), yaliyosainiwa sambamba na uzinduzi wa ‘NMB School