Na Mwandishi wetu, Arusha KAMPUNI ya Barrick nchini, imedhamini na kushiriki katika kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu lililoandaliwa na taasisi ya kuchipua na kuendeleza

Dodoma. Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma imeyatupa maombi ya askari wa Jeshi la Magereza aliyefutwa kazi mwaka 2022, Joel Runda Marivei ya kutaka Mahakama ifute

China imesema itaendelea kufadhili miradi mipya ya kimkakati ya Tanzania inayoendelea, baada ya kuridhishwa na utekelezwaji ya miradi ya awali. Mkuu wa Shirika la Kimataifa

Dar es Salaam. Wakati kukiwa na malalamiko ya kupanda kwa bei za bidhaa za chakula kutokana na kupaa kwa mafuta ya dizeli na petroli, huenda

Helikopta iliyokuwa imembeba Rais wa Iran, Ebrahim Raisi imeripotiwa kuanguka baada ya kupata shida katika kutua. Kwa mujibu wa televisheni ya Taifa ya Iran, helikopta

YANGA nzima jana ilikuwa Arusha ikitafuta tiketi ya kucheza fainali ya tano ya Kombe la Shirikisho (FA) ndani ya miaka tisa, lakini mabosi wake wakirudi

Mwanza. “Kilisikika kishindo cha kamba zinazoishikilia meli zikikatika.” Ni kauli ya Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL), Abdulrahman Salim akisimulia tukio la

YANGA imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu FC katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) uliochezwa Uwanja wa

Dar es Salaam. Wagombea wa nafasi mbalimbali kwenye kanda nne ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamesema uchaguzi utakaofanyika kati ya Mei 25

UONGOZI wa Ihefu umeweka wazi kushtushwa na taarifa zinazosambaa zikimhusu aliyekuwa nyota wa zamani wa Simba, Mmalawi, Peter Banda za kudai kusainishwa mkataba na timu