Kinshasa. Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limetangaza kuzuia jaribio la mapinduzi dhidi ya Rais Felix Tshikedi jijini Kinshansa. Taarifa hiyo iliyochapishwa katika tovuti

Dodoma. Kufuatia kauli ya ndugu wa marehemu Askofu Mkuu wa Makanisa ya Methodist Tanzania (TMC), Joseph Bundala kudai wana wasiwasi ndugu yao hakujinyonga na kutaka uchunguzi

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri

Msemaji wa jeshi hilo Sylvain Ekenge ameyasema hayo katika hotuba yake kupitia televisheni ya taifa. “Jaribio la kuipindua serikali limezuiwa na vikosi vya ulinzi. Jaribio

Unguja. Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemteua Khamis Yusuph Mussa kupeperusha bendera ya chama hicho katika kinyang’anyiro cha ubunge wa Kwahani visiwani Zanzibar.

Na Esther Mnyika, Pwani Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imesema imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa kituo cha kupoza umeme cha

Dar es Salaam. Wamemalizana. Ndiyo neno unaloweza kulitumia kuelezea uamuzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa Kampala nchini Tanzania (KIUT) kuomba kumalizana na Mfuko wa Hifadhi

AMEZIKWA katika makaburi ya Kihonda, Ijumaa jioni baada ya swala ya Ijumaa. Jellah Mtagwa. Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars kuanzia mwaka

Dodoma. Wakati siku ya mwisho ya maombi ya kazi kwenye Jeshi la Polisi ni Jumanne ya Mei 21, 2024, waombaji wengi wamelalamikia mtandao wa jeshi

RIYADH, SAUDI ARABIA: HESHIMA mjini. Vijana wengi wanapenda kusema baada ya kupata mafanikio hasa pesa. Juzi usiku Mei 18, Aleksandr Usyk alimkalisha Tyson Fury pambano