Na Esther Mnyika, Pwani Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imesema imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa kituo cha kupoza umeme cha

Dar es Salaam. Wamemalizana. Ndiyo neno unaloweza kulitumia kuelezea uamuzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa Kampala nchini Tanzania (KIUT) kuomba kumalizana na Mfuko wa Hifadhi

AMEZIKWA katika makaburi ya Kihonda, Ijumaa jioni baada ya swala ya Ijumaa. Jellah Mtagwa. Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars kuanzia mwaka

Dodoma. Wakati siku ya mwisho ya maombi ya kazi kwenye Jeshi la Polisi ni Jumanne ya Mei 21, 2024, waombaji wengi wamelalamikia mtandao wa jeshi

RIYADH, SAUDI ARABIA: HESHIMA mjini. Vijana wengi wanapenda kusema baada ya kupata mafanikio hasa pesa. Juzi usiku Mei 18, Aleksandr Usyk alimkalisha Tyson Fury pambano

SERIKALI ya Canada kupitia ‘CARE International Canada’ imetenga takribani Sh 38 bilioni zitakazotekeleza Mradi wa “Her Resilience, Our Planet Project” ambao unalenga kuongeza ushiriki wa

Dar es Salaam. Mwanaharakati wa mitandaoni nchini Tanzania, Maria Sarungi ambaye anaendesha kampeni ya kumchangisha fedha za kununua gari jipya la Makamu Mwenyekiti wa Chadema

Wakala ya barabara Tanzania (TANROADS) umeanza kutekeleza maagizo ya Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa aliyoyatoa Februari 22, 2024 wakati wa ziara yake ya siku

KWENYE gofu kuna maokoto ya hapa na pale na yamekuwa yakiwasaidia vijana kupunguza makali ya maisha, pia yanaongeza chachu ya nidhamu ya kazi na kujituma

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi wa kituo cha kupoza umeme cha Chalinze unaojumuisha