RAIS wa Iran Ebrahim Raisi (63,) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya helikopta waliyokuwa wakisafiria kutoka Kaskazini Magharibi mwa Nchi hiyo kuanguka AFP

Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam Naibu Meya wa Manispaa ya Temeke Mheshimiwa Arnold Emmanuel Peter ameushukuru Uongozi wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi, Ayatullah Khamenei (kushoto) akiamkiana na Shahidi Seyyid Ebrahim Raisi Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Seyed Ebrahim Raisi na viongozi

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga ameshiriki katika Kikao cha Baraza la Mawaziri wa Kisekta kwa ajili

Rais wa Iran Ebrahim Raisi, waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo na wengine wamepatikana wakiwa wamekufa katika eneo la ajali ya helikopta,kwa mujibu

*Na Mwandishi wetu;- Mbunge wa Jimbo la Babati na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Sillo ametoa magunia 10 ya mahindi

Mwenyekiti wa Jumuiya ya “Red Crescent” Iran, Kolivand, ametangaza kuwa mabaki ya helikopta iliyokuwa imembemba Rais Ebrahim Raisi, Waziri wa Mambo ya Nje, Hossein Amir-Abdollahian,
NA BALTAZAR MASHAKA,MWANZA SHIRIKISHO la Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA), Wilaya ya Nyamagana,linatambua jitihada za serikali za kuboresha maisha ya Watanzania wakiwemo watu wenye walemavu,

Nahodha wa timu ya Taifa (Taifa Stars), Mbwana Samatta amehitimisha vyema msimu wa 2023/2024 baada ya timu yake PAOK kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya

Kulingana na televisheni ya taifa ya Iran, timu za waokoaji zinatajwa kuyafikia mabaki ya helikopta iliyokuwa imembeba Rais wa Iran Ebrahim Raisi na maafisa wengine.