Na Mwandishi Wetu Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars Mbwana Samatta ametwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Ugiriki akiwa na timu yake

Dar es Salaam. Wakati Serikali ikiingiza lugha ya Kichina kwenye mitaala ya masomo ili ifundishwe shuleni, tayari watoto wa Kitanzania wamefadhiliwa kusoma bure lugha hiyo.

TUME ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed Othman Chande mapema leo Mei

MECHI ya Mei 20, itakayopigwa Uwanja wa Namungo, Morogoro, itakuwa ya kusaka nafasi kwa Namungo kupanda nafasi za juu kwa Mtibwa Sugar kuongeza pointi hata

Dodoma. Mwili wa aliyekuwa Askofu Mkuu wa Makanisa ya Methodist Tanzania (TMC) Joseph Bundala umewasili nyumbani kwake Ihumwa jijini Dodoma kwa ajili ya ibada ya

KLABU ya Simba iko mbioni kuachana na kocha wa makipa wa timu hiyo, Dani Cadena baada ya mkataba wake kumalizika mwisho wa msimu huu. Taarifa

Kifo cha Raisi kimetangazwa na televisheni ya taifa ya Iran baada ya juhudi za kufika eneo la tukio lililochukua saa kadhaa kutokana na hali mbaya

Dodoma. Serikali ya Tanzania imeaondoa utaratibu wa kuandikisha ajira kwa vijana wanaohitimu elimu ya darasa la saba kwenye Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ).

Mapema leo Mahakama ya kikatiba ya Afrika Kusini imetoa uamuzi kuwa rais wa zamani wa nchi hiyo Jacob Zuma hastahili kugombea katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), itaanza kutumia Mfumo wa Kielektroniki wa Upimaji Utendaji Kazi (PA) ili kuongeza ufanisi katika taasisi za umma. Kwa