Songwe. “Heshimu kazi, penda watu na siyo vitu”. Hayo ni maneno ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Theopista Mallya kwa askari wa Songwe wakati

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeutaka Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) uliopo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu,

Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Nishati nchini Tanzania, Judith Kapinga amesema changamoto ya kukatika kwa umeme inayojitokeza katika baadhi ya maeneo, inasababishwa na uchakavu

LIGI Kuu ya Zanzibar (ZPL) inazidi kuyoyoma, huku ikishuhudiwa idadi ya hat trick zikiongezeka baada ya jana Jumapili kupigwa nyingine mbili na kufanya idadi sasa

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya Kanali Denis Mwila amwataka wananchi kuepuka mikopo yenye masharti magumu yanayowaumiza watu wa hali ya chini inayotumiwa na

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), itaanza kutumia Mfumo wa Kielektroniki wa Upimaji Utendaji Kazi (PA) ili kuongeza ufanisi katika taasisi za umma. Kwa

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,Prof Mohamed Janabi amesema kuwa wana mkakati maalum wa kutoa huduma za kisada za tiba kwa wagonjwa wanaofika

Wakala ya barabara Tanzania (TANROADS) umeanza kutekeleza maagizo ya Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa aliyoyatoa Februari 22, 2024 wakati wa ziara yake ya siku

Kiongozi wa ngazi ya juu nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amemteua makamu wa kwanza wa rais wa Iran, Mohammad Mokhber, kuwa rais kufuatia kifo cha

Kocha Mkuu wa Coastal Union, David Ouma amesema ameshangazwa na matokeo waliyopata dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Kombe la Shirikisho (FA), akieleza kuwa