Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amewataka watumishi wanaosimamia utawala na rasilimali watu sehemu za kazi kuwatendea haki wafanyakazi wote

Dodoma. Baada ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kutangaza kuandikisha wafungwa wa chini ya miezi sita katika daftari la kudumu la wapigakura, wadau

KUFUATIA taarifa iliyotolewa tarehe 17 Mei 2024 na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuhusu kuwepo kwa kimbunga “IALY” katika Bahari ya Hindi kaskazini

Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana Mustafa kushoto akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Rashid Hadidi Rashid ili kuukimbiza

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka wakurugenzi wote nchini kusimamia kikamilifu ukusanyaji wa mapato

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji, Phaustine Kasike leo Jumatatu amekutana na Mjumbe wa Kamisheni ya Siasa ya Chama cha FRELIMO, Alcinda

Unguja. Ili kupata unafuu wa wa kodi kwa wafanyabiashara wanaosafirisha bidhaa zao kutoka Zanzibar kwenda Tanzania bara au kinyume chake, wanatakiwa kuwa na nyaraka muhimu

Na Mwandishi Wetu, Tabora Mkuu wa mkoa wa Tabora Paulo Chacha, amewaonya Wakulima wa Tumbaku mkoani humo kuacha tabia ya kuchanganya Tumbaku mbaya

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dkt. Emmanuel Nchimbi amemtaka Waziri wa nchi ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala

Babati. Watu 600 wa kijiji cha Manyara, wilayani Babati mkoani Manyara, wamekosa mahali pakuishi baada ya makazi yao kukumbwa na mafuriko. Pamoja na kukosa makazi