Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa

Dar es Salaam. Sehemu ya barabara eneo la Kimanzichana mkoani Pwani, ilomeguka kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha, imekarabatiwa. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, alitembelea eneo hilo

BARAZA la Michezo Nchini (BMT) La ahidi kushirikiana bega kwa bega na Shirikisho la Mbio za Magari (AAT) Kuhakikisha wadau wanaunga mkono mchezo huo. Akizungumza

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama amesema uwepo wa Kongamano

Dar es Salaam. Tanzania na Somalia zimekubaliana mambo makuu matatu ya ushirikiano katika sekta ya afya ikiwemo matibabu ya kibingwa na ubingwa bobezi, kutoa mafunzo

UTOAJI Wa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi inayotolewa bure kwa wasichana kuanzia miaka 9 hadi 14 kwa dozi moja pekee umefanikiwa kwa asilimia

Arusha. Wafanyakazi zaidi ya milioni 22 duniani wanapata madhara ya ajali sehemu za kazi, huku wengine 18,970 wakifariki duniani kote kila mwaka kutokana na ongezeko

Serikali imetoa shilingi Bilioni 1.5 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu ya barabara zilizoharibika maeneo mbalimbali Mkoani Mwanza. Fedha hizo zimetolewa na serikali kwenda

Dodoma. Wahariri nchini wanakutana jijini Dodoma kujadili masuala yanayohusu nchi na ustawi wa vyombo vya habari, mada kuu ikiwa nafasi ya vyombo hivyo katika matumizi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Winfrida Beatrice Korosso kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania katika