‘Tanzania tunaitaka Chunya’. Ni kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mbarack Batenga akielezea Ken Gold kutumia Uwanja wa Chunya kwa ajili ya mechi zao

Dar es Salaam. Vijana wametakiwa kujitokeza kuwekeza kwenye sekta ya kilimo kwa kujiunga katika vikundi, ili kuwezesha upatikanaji wa mitaji kwa urahisi, uzoefu na elimu

Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe.Daniel G. Chongolo ameshiriki katika ibada maalumu ya Kanisa la KKKT Jimbo la Tunduma ikiongozwa na Askofu Mkuu wa makanisa

TP Lindanda wana Kawekamo timu ya Pamba Jiji FC imerejea tena Ligi Kuu Bara na kuwakata kiu mashabiki wa soka wa Jiji la Mwanza ambao

Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema sheria ya watoa taarifa kulindwa, haimaanishi watu kujikite kutoa za

Na Mary Margwe, Simanjiro. Katibu Tawala wa Mkoa wa Manyara Maryam Muhaji ameitaka jamii kuhakikisha wanaimarisha Muungano huo, pamoja na kukemea vitendo vya Ukatili wa

Benki ya NBC imepata tuzo ya Mwezeshaji Bora wa Pamoja wa Mikopo ya Serikali Kuu nchini katika Bara la Afrika kwa mwaka 2023 katika Tuzo

Dodoma. Hoja ya kuwataka wajumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kujiuzulu, vyama kuanzisha madawati ya jinsia na Katiba mpya, huenda zikapata majibu katika

Na Mary Margwe, SIMANJIRO. Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara Fakii Raphael Lulandala amesema katika kipindi Cha Serikali ya awamu ya sita, chini ya

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kufanikiwa