Sengerema. Wananchi wa Sengerema mkoani Mwanza wamewashauri viongozi wa Chadema kushusha maandamano ya amani hadi ngazi ya vijiji, ili kuwasaidia wananchi wa maeneo hayo kupata

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kufanikiwa kudhibiti matukio ya vifo na

Arusha. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Arusha, imesema inawashikilia watu watatu wakiwamo watumishi wa Mkoa wa Arusha kwa tuhuma za

HESHIMA aliyojijengea nahodha wa Simba, John Bocco tangu aanze kucheza Ligi Kuu Bara mwaka 2008 hadi 2024, inawafanya mashabiki kuyafuatilia maisha yake na kutaka kujua

Na Samwel Mwanga, Itilima MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed amehaidi kulivalia njuga suala la baadhi ya wahudumu wa Afya katika

Arusha. Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), imezindua kampeni yake ya kuipigia kura mamlaka hiyo kutetea nafasi yake ya kuwa kivutio bora cha utalii barani

Na Janeth Raphael -MichuziTv -Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt Dotto Biteko anatarijiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano wa 13 wa

WAKATI Juma Mgunda akihusishwa na mipango ya kurudi kuifundisha Simba kutokana na kuondoka kwa Abdelhak Benchikha, kocha huyo maarufu kama ‘Guardiola Mnene’ amesema hata yeye

Dar es Salaam. Mwaka 2015 iliripotiwa wanawake wilayani Rombo kulalamika kwenda nchi jirani ya Kenya kukodi wanaume kupata unyumba, baada ya waume wao kuishiwa nguvu

*📌Aipongeza OSHA kuboresha utendaji* *📌Asema ufasinisi sio kuwindana, kutozana faini* *📌Ahimiza hifadi ya mazingira kukabili mabadiliko ya tabia nchi* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa