Na Mwandishi wetu, Ngorongoro. Zoezi la wananchi wanaoishi ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kujiandikisha na kuhama kwa hiari limepamba moto ambapo leo tarehe 28 Aprili,

UKISIKIA haishi hadi iishe ndio hii. Baada ya kumkosa katika dirisha dogo la usajili la msimu huu, mabosi wa Simba wameamua kumkomalia beki wa kati

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa jamii ya Watanzania kuacha kuwanyanyapaa watoto na watu wanaoishi na Usonji, magonjwa ya mfumo wa fahamu pamoja na

WAKATI pazia la Ligi ya Championship likifungwa rasmi leo, kiungo mshambuliaji na kinara wa mabao wa Pamba Jiji, Haruna Chanongo huenda akakosa mchezo wa mwisho

Rais wa Somalia Mheshimiwa Hassan Sheikh Mohamud amesema nchi yake imeamua kushirikiana kwa karibu na Bohari ya Dawa ya Tanzania katika ununuzi wa bidhaa za

NYOTA wa Ihefu, Marouf Tchakei ameanza mazoezi mepesi na timu hiyo baada ya kukosekana kwa takriban wiki tatu kutokana na kusumbuliwa na majeraha ya kifundo

Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) imefanya kikao na mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika Nchi za Afrika Mashariki, Afrika ya Kati na Astarasia kwa lengo la huduma

Iringa. Limekuwa kama jambo la kawaida kusikia watoto wakibakwa au kulawitiwa. Hata pale zinapotolewa habari za watoto kufanyiwa ukatili huo, kwa kuwa jamii imezoea kusikia

A group of more than 1,400 women in Unguja and Pemba have graduated from an economic inclusion programme, called Mwanamke Shujaa, supported by Coca-Cola

Kiungo wa Simba Clatous Chama anayemaliza mkataba mwishoni mwa msimu huu ametajwa kuhusisha na Yanga, zikiwa zimebaki wiki chache kabla msimu haujamalizika. Mkataba wa Chama