Serikali imesema hadi kufikia Mwezi, Machi 2024 jumla ya vijiji 11,837 sawa na asilimia 96.37 ya vijiji vyote 12,318 vya Tanzania Bara vilikuwa vimeunganishiwa huduma

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Geita Imebaini kucheleweshwa kwa ujenzi wa mradi wa Mabweni 03 katika shule ya Sekondari Bukombe

Dar es Salaam. Ni matumaini kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wa fani ya uhandisi wasiomudu gharama za masomo baada ya

KAMA ilivyo kwa wazazi, huwa na mipango yao juu ya watoto wao, bila kujua kuwa baadae inaweza isitimie ndivyo ilivyotokea kwa Mzee Abdallah Hamad ‘Bacca’.

Kaimu Meneja wa SIDO Mkoa wa Shinyanga bw. Joseph Taban (kulia) akikagua Vihenge vilivyotengenezwa na Vijana walioshiriki mafunzo ya kutengeneza Vihenge yaliyotolewa na SIDO Mkoa wa

Serikali kupitia wizara ya Elimu sayansi na teknolojia imejipanga kufanya mapitio ya mitaala kuanzia ngazi ya awali hadi chuo kikuu ili kuwanoa wanafunzi watakaondana na

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amedokeza huenda mwaka 2030 Tanzania ikawa na Mkuu wa Majeshi mwanamke. Msingi wa dokezo lake hilo

YANGA wameanza mapema kukifanyia maboresho kikosi chao kuelekea msimu ujao, baada ya kupiga hodi kuulizia huduma ya kiungo mkabaji, Yusuph Kagoma kama mbadala mpya wa

Wakazi wa vijiji vya Kisegese, Chiwachiwa na Lavina katika Kata ya Namwawala na Mbingu na Igima wataepuka hatari ya kupotezamaisha baada ya daraja jipya kuanza

Arusha. Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi (Osha), imetoa mafunzo maalumu kwa kinamama lishe wa Mkoa wa Arusha kwa lengo la kuwaelimisha namna