Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam April 26, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linawashikilia Meya wa zamani wa Ubungo, Jacob Boniface na Mwanaharakati Godlisen Malisa kwa

Mkutano Maalum wa 53 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki umefanyika leo tarehe 25 Aprili 2024 Makao Makuu ya Jumuiya hiyo jijini

Dar es Salaam. Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zinatarajiwa kuwakutanisha wakuu wa mataifa saba ya Afrika, watakaohudhuria tukio

Benki ya CRDB kupitia sera yake ya uwekezaji kwa jamii, Aprili 24 – 25, 2024 ilikabidhi madarasa mawili katika Shule ya Sekondari Kikilo na madarasa

Mkuu wa Mkoa wa Geita , Martine Shigela na Mkuu wa wilaya ya Geita Hashim Komba pamoja na wananchi wa Mji wa Geita wamekusanyika katika

Dar es Salaam. Waliokuwa wapangaji katika nyumba zinazoathiriwa na mradi wa uendelezaji Bonde la Mto Msimbazi wenye mikataba na wasio nayo, wote watafidiwa Sh170,000. Awali,

Na WAF, TABORA Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ameziasa Kamati za Ulinzi na Usalama nchini kuona umuhimu wakuifanya ajenda yakutokomeza Malaria iwe yakudumu

USHINDI wa mabao 5-2 ilioupata Azam FC dhidi ya KMKM, umeifanya timu hiyo kufuzu fainali ya Kombe la Muungano, michuano inayofanyika kwenye Uwanja wa New

Home ยป PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO APRILI 26,2024 About the author