Garfield (Gary) Sobers. Moja ya majina makubwa sana katika Kisiwa cha Barbados ikiwa ni zaidi ya miaka 40 anaimbwa na kila mtu. Ameitangaza vyema nchi

Katika mkakati unaolenga kuleta mabadiliko kwenye sekta ya biashara, na kuendeleza upatikanaji wa huduma za kifedha nchini Tanzania kwa ufanisi zaidi benki ya Stanbic Tanzania

BENKI ya Exim imekabidhii seti ya vitanda kwa Shule ya Jeshi la Polisi Tanzania iliyopo Moshi, mkoani Kilimanjaro kama sehemu ya mchango wa Exim

Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Exim Bank, Stanley Kafu (wa tatu kutoka kushoto),akikabidhi seti ya vitanda kwa Mkuu wa Shule ya Polisi Tanzania –

Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Jesca Kishoa ameitaka Serikali kufunga transifoma zenye ukubwa wa kilovoti 200 hadi 315 ili kukidhi mahitaji ya kuendesha viwanda

Meneja Masoko wa Kampuni ya Parimatch Levis Paul akizungumza machache mara baada ya Kuzinduliwa kwa Msimu wa tatu wa Shindano la Bingwa ambapo msimu huo

SIMBA baada ya kuchapwa mabao 2-1 na watani wao wa jadi Yanga kwenye mechi ya ligi wikiendi iliyopita, jana ilikuwa uwanjani Zanzibar kwaajili ya michuano

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa Bilioni 66 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu ya barabara zilizoharibika

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan kurekebisha mifumo ili kuwe na Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba mpya itamkayolinda na kutetea

Serikali kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imesema kuwa ina lengo la kuboresha maisha ya wananchi wa tarafa hiyo kwa kuwaelimisha na kuwahamisha wananchi