Yanga imeendeleza ubabe kwa Simba baada ya kuichapa kwa mara ya pili ndani ya Ligi Kuu Bara katika msimu mmoja kutokana na kushinda mabao 2-1,

Songea. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema siasa ya vyama vingi si ugomvi, akiwataka wana-CCM na Watanzania kutoacha kuzungumza na

Dar es Salaam. Msemaji wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema idadi ya vifo vilivyotokana na mafuriko katika Halmashauri ya Mlimba, mkoani Morogoro imefikia 49. Msemaji wa Serikali

Arusha.Ujenzi wa nyumba 108 za waathirika wa maafa ya maporomoko ya matope, mawe na magogo ya miti kutoka Mlima Hanang unaendelea katika eneo la Gidagamowd,

Njombe. Wananchi wa Kata ya Makowo, Halmashauri ya Mji wa Njombe, wamepatiwa gari la kubeba wagonjwa litakalowapunguzia changamoto ya kusafiri umbali mrefu kufuata huduma za

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Mwimbaji wa gospo kutoka jijini Mwanza, Lemi George na kwaya ya AIC Nira, wamefanikiwa kujizolea mashabiki wapya kupitia wimbo wao

Unguja. Wakati Tanzania ikielekea kuadhimishwa miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zimetajwa changamoto, faida na maadui wa Muungano huo ulioasisiwa mwaka 1964. Miongoni

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Mashindano ya Taifa Klabu ya Kuogelea yameanza leo Aprili 20,2024, huku waogeleaji kutoka klabu mbalimbali wakionekana kuchuana vikali kwenye bwawa

Dar es Salaam. Viongozi wa Jumuiya ya Ahmadiyya Kusini mwa Jangwa la Sahara wanakutana jijini Dar es Salaam kwa mkutano wa siku mbili, huku mambo

Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo kimesema yaliyobainika katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) yanaashiria mwendelezo wa ubadhirifu wa