Mbeya. Maisha ya wananchi wilayani Rungwe Mkoa wa Mbeya yako hatarini, baada ya maji ya Mto Kiwira kumong’onyoa udongo na kuharibu barabara inayounganisha vijiji Kapugi

Dar es Salaam. Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi kinachorushwa na kituo cha redio cha Clouds FM, Gardner G. Habash amefariki dunia alfajiri ya leo Aprili

Dar/Mara. Biashara ya usafirishaji abiria kwa kutumia pikipiki maarufu kama bodaboda imegeuka ajira kubwa nchini ikiwa na mambo mengi ndani yake. Wapo wenye pikipiki zao

Zikiwa zimesalia takribani saa nne ili kuchezwa kwa mechi ya Watani wa Jadi Yanga dhidi ya Simba, hali ya Uwanja wa Benjamin Mkapa, imepoa. Wakati

Arusha. Halmashauri ya Wilaya ya Karatu mkoani Arusha imeendelea kuwahamisha wananchi wanaoishi mabondeni na kuwapeleka maeneo maalumu yaliyotengwa, ili kuepukana na athari za maafa ya

Iringa. Mwenyekiti wa Chama cha Historia Tanzania na Mdhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Maxmilian Chuhula amesema ipo haja kwa wasomi

Wikiendi hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kutakuwa na Dabi ya Kariakoo, ikiwa ni dabi ya tano Afrika kwa ukubwa, macho

Mbeya. Wakati vigogo wa Chadema Kanda za Victoria, Serengeti, Nyasa na Magharibi wakipigana vikumbo kuchukua na kurejesha fomu za kuwania uongozi, baadhi ya makada wa

SIKU chache baada ya Kamati ya Nidhamu ya Singida Fountaine Gate kumuandikia barua kipa wao, Beno Kakolanya kwa ajili ya kujibu tuhuma zinazomkabili za kutoroka

YANGA inashuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa saa 11:00 jioni kupambana na watani zao, Simba, huku timu hiyo ikiwa na rekodi bora msimu huu wakati