Dar es Salaam. Uimara katika usimamizi wa sekta fulani na kuwa na mchango katika Taifa lake ni miongoni mwa sababu zilizotajwa na wasomi kuwa chachu

Mbeya. Wakati Serikali ya Tanzania ikiendelea kutafuta ufumbuzi wa changamoto ya ardhi ya kilimo wilayani Mbarali, Wizara ya Kilimo imeagizwa kufanya mazungumzo na mmoja wa

Njombe, Makete. Takriban miongo miwili iliyopita ilikuwa ni jambo la kawaida kuzika watu watatu mpaka wanne kwa siku waliofariki kutokana na maambukizi ya virusi vya

Dar/Mikoani. Ni kawaida siku hizi katika kumbi za starehe mijini kukuta mitungi ya shisha juu ya meza, huku watumiaji wakichangia kilevi hicho. Je, unajua kuna

Dar es Salaam. Idadi kubwa ya wajawazito wanaopokewa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke imesababisha wachangie kitanda kimoja wawili hadi watatu. Licha ya

Abubakar Salum ‘Sure Boy Sr’ ambaye ni baba mzazi wa kiungo wa Yanga, Salum Abubakar ‘Sure Boy’, amesema Kariakoo Dabi haijawahi kutabirika, haijalishi ni timu

Dodoma. Wazazi wana jukumu la malezi ya watoto, lakini hali imekuwa tofauti kwa baadhi ya familia ziishio pembezoni mwa Bwawa la Mtera wanaolelewa na mzazi

Mwanza. Wakati baadhi ya wananchi wakilalamikia gharama za vifurushi vya intaneti kuwa juu, Shirika la Mawasiliano nchini (TTCL) limeanza kupanua mkongo wa Taifa na kuuongezea

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Serikali zote za Tanzania na Zanzibar mbili zinaendelea kuchukua hatua mbalimbali kushughulikia na kupata ufumbuzi wa changamoto

Unguja. Zanzibar inakabiliwa na ukosefu wa mafuta ya Petroli kwa siku mbili mfululizo na kusababisha adha kwa wananchi wanaohitaji nishati hiyo. Tatizo hilo limeanza Aprili