Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Chuo Kikuu cha Ankara cha nchini Uturuki, kimemtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, Shahada

Dar es Salaam. Ikiwa zimepita siku 54 baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kufanya maandamano ya amani katika mikoa ya Dar es Salaam,

NILETEENI wachezaji wa maana’. Ndivyo alivyoagiza mchezaji wa zamani wa Lille ya Ufaransa, Souleymane Youla ambaye Juni mwaka huu, atatua nchini akiongoza jopo la maskauti

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV WAFANYABIASHARA wa bidhaa za Vipodozi nchini wametakiwa kufanya maombi ya usajili wa bidhaa hizo kabla ya kuziingiza katika soko la

Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amepokelewa kwa shangwe na nderemo na wananchi wa Mbarali, wakiongozwa na

Mtwara. Tani 244,680 za korosho ghafi zenye thamani ya Sh454 bilioni zimezalishwa nchini huku tani 229,544 zikisafirishwa nje ya nchi kwa kutumia Bandari ya Mtwara

BURUDANI yake kubwa siku zote kwake imekuwa kupanda juu ya ulingo kama msaidizi wa bondia na ikishindikana kwa bondia wa ndani basi usishangae kumuona akiwa

Samsung Electronics Co., Ltd. today announced the upcoming expansion of three new languages for Galaxy AI: Arabic, Indonesian, and Russian, as well as three new dialects: Australian

Dodoma. Serikali ya Tanzania inakusudia kufanya mapitio ya leseni za utafiti wa madini ili kuzifuta zitakazobainika hazifanyi kazi au hazijalipiwa, lengo likiwa ni kutwaa maeneo

KAMA kuna hadithi tamu ya kuisimilia katika ulimwengu wa soka, basi ni hii ya muujiza wa kocha Xabi Alonso na klabu yake ya Bayer Leverkusen