Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam May 6, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania May 6, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post

Halmashauri ya mji wa Njombe mefanikiwa kutoa chanjo ya Saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wenye umri kati ya 9 – 14 kwa 91%

Na. Dennis Gondwe, KIWANJA CHA NDEGE WANANCHI wa Mtaa wa Osterbay, Kata ya Kiwanja cha Ndege Halmashauri ya Jiji la Dodoma wamejitokeza kufanya usafi wa

Hanang. Wanafunzi 3,000 wa shule za msingi na sekondari Wilaya ya Hanang mkoani Manyara, wamejengewa miundombinu ya usafi ili kudhibiti magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu.
Na Fauzia Mussa Maelezo.05.05.2024. Mkuu wa Oganaizesheni Afisi Kuu ya chama cha mapinduzi Zanzibar Omar Ibrahim Kilupi amezitaka jumuiya za chama cha Mapinduzi kuweka mikakati

Dar/Mikoani. Shughuli za usafiri, usafirishaji na uvuvi zikiwa zimerejea katika baadhi ya maeneo huku athari zaidi za kimbunga Hidaya zikitajwa, wataalamu wa masuala ya hali

Moshi. Wakati wilaya za Rombo na Moshi mkoani Kilimanjaro zikikabiliwa na wimbi la uvamizi wa nyani kwenye mashamba na makazi ya watu, wataalamu wa wanyamapori

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la

Dar es Salaam. Chama cha Wakunga Tanzania (Tama) kimetoa mapendekezo saba kwa Serikali ili kuboresha fani hiyo. Miongoni mwa mapendekezo waliyotoa ni kuwezesha wakunga kutoa