MASHABIKI wa Simba na Yanga tayari viroho vimeanza kuwadunda, wakati wakiendelea kuhesabu siku kabla ya timu zao kushuka katika pambano la Ligi Kuu Bara litakalopigwa

Arusha. Mwanafunzi wa darasa la saba katika Shule ya Msingi Olomitu iliyoko Chekereni jijini Arusha, Yusuph Zephania (13) anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kuogopa adhabu

JUMAMOSI ya wiki hii, inapigwa Kariakoo Dabi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Yanga itakuwa mwenyeji wa Simba ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Kuanzia

Mwanza. Kukosa usingizi wakati wa ujauzito, kujilaumu, kuwaza sana, kula sana na wakati mwingine kutokula kabisa ni miongoni mwa mambo yanayotajwa kuwa dalili za changamoto

ALIYEKUWA nyota wa TP Mazembe na timu ya taifa ya Zambia, Rainfold Kalaba amerejewa na fahamu na sasa anaweza kuzungumza na kula. Akitoa taarifa hiyo

Njombe. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho kujiepusha kuwa madalali wa watu wanaosaka nafasi

AZAM FC imefikia makubaliano na Akademi ya Yeleen Olympique ya Mali kwa ajili ya kumnunua mchezaji wa kimataifa wa nchi hiyo, Yoro Mamadou Diaby. Mlinzi

Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amemshukia mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina akimtaka kutodharauliana.

WAKATI homa ya pambano la Ligi Kuu Bara kati ya vinara wa ligi, Yanga dhidi ya Simba likizidi kupanda kutakuwa na vita nyingine mpya kwenye

Arusha. Dharau, lugha za matusi na vipigo vya mara kwa mara wakati mwingine bila kosa, ni baadhi ya madhila wanayokumbana nayo watoto wanaoishi na kufanya