Dar es Salaam. Jaji mstaafu, Robert Makaramba amesema kuheshimu na kulinda uhuru wa wanahabari ndiyo msingi wa usalama wa Taifa lolote duniani. Amesema kuminya uhuru

TUNAENDELEA na simulizi zetu za mechi ijayo ya watani wa jadi, Aprili 20 mwaka huu…yaani Jumamosi hii! Hii ni mechi ya kwanza tangu Yanga wawape

Dodoma. Mbunge wa Baraza la Wawakilishi, Suleiman Haroub Suleiman amesema Rais mstaafu wa Zanzibar, Dk Salmin Amour Juma anaishi katika hali ngumu baada ya nyumba

MECHI za watani wa jadi huweza kuamuliwa na uwezo binafsi wa washambuliaji, viungo na mara chache mabeki, lakini mbinu za kocha zinaweza pia kuwa nguzo

Dar es Salaam. Chakula ni muhimu kwa afya njema na kuna misingi inatakiwa kufuatwa ili kuepukana na madhara yatakayosababishwa baada ya kula chakula. Wataalamu wanaelezea

Dar es Salaam. Wamiliki wa nyumba zinazoguswa na mradi wa uendelezaji Bonde la Mto Msimbazi wakiwa wameshalipwa fidia na kuanza kuhama, kumeibuka malalamiko ya waliokuwa

Dar es Salaam. Wamiliki wa nyumba zinazoguswa na mradi wa uendelezaji Bonde la Mto Msimbazi wakiwa wameshalipwa fidia na kuanza kuhama, kumeibuka malalamiko ya waliokuwa

Ilikuwa Novemba 5, 2023 uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo Yanga iliichapa Simba mabao 5-1 kwenye mechi ya ligi na kupelekea kufutwa kazi kwa aliyekuwa kocha

TANZANIA, Afrika Kusini na labda Afrika nzima mitandao imejaa mjadala wa uamuzi wa kutia shaka wa refa wa mchezo wa robo fainali ya Ligi ya

Balozi wa Pakistani nchini Siraj Ahmad Khan (kushoto), Mkurugenzi wa Biashara wa Vodacom Tanzania, Linda Riwa (katikati) na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya