Morogoro. Wavuvi katika Mto Kilombero wameeleza athari walizozipata kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Akizungumza na Mwananchi Digital jana Ijumaa Mei 3, 2024, mwenyekiti wa kambi

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa ratiba ya mechi za nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB ambapo Yanga imepelekwa jijini Arusha wakati Azam

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa inayoongozwa na Makamu Mwenyekiti wake, Mhe Lazaro Nyamoga imefanya ziara ya kikazi

Arusha. Katika utekelezaji wa mkakati wa diplomasia ya uchumi, Serikali inatarajia kuanzisha mpango wa kujenga kada ya wanadiplomasia wenye uwezo mkubwa nchini. Imesema mpango huo

Habari ya mjini kwa sasa ni kuhusu Kibu Denis ‘Mkandaji’. Ni kiungo mshambuliaji wa Simba anayemaliza mkataba wake kwa Wekundu wa Msimbazi hao na ameziingiza

Dar es Salaam. Aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kilosa, Mustafa Mkulo amefariki dunia jana Mei 3, 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili

MBWEMBWE zilizoonyeshwa na kipa wa Namungo FC, Deogratius Munish ‘Dida’ zimeifanya timu hiyo kuruhusu bao la kizembe katika mchezo wa nusu fainali ya Kombe la

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuamuru Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Joseph Selasilini, alimpe fidia ya fedha kiasi cha Sh.

Iringa. Ofisa Tarafa ya Kiponzelo, wilayani Iringa, Rukia Hassan amesema umeibuka mtindo wa baadhi ya watu kuanzisha vilabuni vya pombe za kienyeji kiholela kwenye nyumba

SIJUI kama imebadilika lakini nimekumbuka zamani. Zamani yetu shuleni. Walimu walikuwa na akili timamu kupanga tuanze na mahafali kisha twende katika mitihani. Ingewafanya wanafunzi wenye