WALIOKUWA wafanyakazi wa mgodi wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) unaochimba makaa ya mawe katika kijiji cha Kapeta Kata ya Ikinga wilayani Ileje mkoani

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM TAASISI ya Doris Mollel imeipongeza Serikali kwa kukubali ombi la kuongeza siku za likizo kwa wanawake wanaojifungua watoto

Tuzo ya DW ya Uhuru wa Kujieleza mwaka 2024 itamuendea Yulia Navalnaya na Wakfu wa Kupambana na Ufisadi nchini Urusi, haya yametangazwa na shirika la

Simiyu. Mbunge wa Jimbo la Kisesa (CCM), Luhaga Mpina amewajibu wanasiasa wanaosema hakuna maendeleo aliyofanya katika jimbo lake badala yake amesema yeye hakutumwa bungeni “kucheza

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV TAASISI ya Doris Mollel imeipongeza Serikali kwa kukubali ombi la kuongeza siku za likizo kwa wanawake wanaojifungua watoto njiti nchini

MABAO manane yametosha kubadili sehemu ya usajili wa Yanga baada ya mabosi wa timu hiyo kushtuka kwamba mshambuliaji Joseph Guede ana kitu miguuni na kichwani,

Mkufunzi wa Liverpool Jürgen Klopp amesema kutoelewana kwake na fowadi Mohamed Salah wakati wa mechi ya wikendi iliyopita huko West Ham kumetatuliwa “kabisa”. Salah alizozana

Shirika hilo la kutetea haki za waandishi wa habari katika ripoti yake ya mwaka limetoa tahadhari kuwa serikali zimekuwa zikipunguza kasi ya kuunga mkono uhuru

Dar es Salaam. Wakati dunia ikiadhimisha siku ya mnyama wa porini aitwaye koala leo Mei 3, jamii imesisitizwa kuhusu umuhimu wa kulala na utunzaji wa

East African Court of Justice, Arusha, Tanzania, 3rd May, 2024: The Tanzanian Minister of Constitutional and Legal Affairs, Hon. Amb. Dr. Pindi H. Chana, on