Ubingwa wa Ligi Kuu msimu ujao hapana. Ni kauli ya uongozi wa Ken Gold, ukielezea mikakati yao ya msimu ujao baada ya kupanda Ligi Kuu

Waziri wa Afya nchini, Ummy Mwalimu akiangalia maonyesho kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani Tanzania (APHYTA). mkutano

Wikiendi iliyopita Pamba Jiji ilivunja mwiko wa miaka 23 kutopanda daraja kwenda Ligi Kuu tangu iliposhuka mwaka 2000, ilipoifunga Mbuni FC ya Arusha mabao 3-1

Fatma Rembo achangia simu janja kwaajili ya urahisishaji wa usajili wa wanachama wapya wa Ccm Iringa
Mjumbe wa kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania (UWT) kutoka mkoa wa Iringa, Mhandisi Fatma Rembo

Kigoma. Katika kupambana na changamoto ya uhaba wa mafuta ya kula nchini, Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linatajia kuzalisha lita za milioni 28 za mafuta

UNESCO siku ya Alhamisi ilitoa tuzo yake ya uhuru wa vyombo vya habari duniani kwa waandishi wote wa habari wa Palestina wanaoripoti vita vya Gaza,

Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) leo Ijumaa, Mei 3, 2024 saa 3:00 asubuhi imetoa taarifa ya kuimarika na kuendelea kusogea

Wazazi na walezi wametakiwa kuwa karibu na watoto wao nyakati zote katika kuhakikisha wanakuwa na maadili mazuri ili kupunguza matukio ya unyanyasaji na ukatili kwa

Dar es Salaam. Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) wameingia makubaliano ya ushirikiano katika kupunguza migogoro ili kuboresha mazingira

Mvua kubwa za El-Nino zilizonyesha zimeleta athari maeneo mbalimbali hapa Nchini ikiwemo katika Mkoa wa Lindi ambapo zimesababisha uharifu mkubwa wa miundombinu ya barabara na