Na Mwandishi Wetu, MtanzanianDigital Kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi kitakachofanyika Aprili 28 OSHA imeendelea na kampeni ya

Dar es Salaam. Viongozi wa mataifa ya Afrika wametakiwa kuweka mkazo katika kupunguza gharama za huduma za afya, kuboresha mifumo ya upatikanaji wa huduma kwa

Nora Damian na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Rais Samia Suluhu Hassan amesema ili muungano uendelee kudumu Watanzania hawana budi kuitekeleza falsafa ya maridhiano, kuvumiliana, mageuzi

Burkina Faso imesimamisha matangazo ya redio ya Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC Afrika na lile linalofadhiliwa na Marekani la Voice of America, VOA,

Dodoma. Baada ya malalamiko ya wafanyakazi kuhusu kanuni mpya za kikokotoo cha mafao ya mkupuo, Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (Tucta) limesema limewasilisha maoni

BAO la Paul Peter limetosha kuipandisha Dodoma Jiji kwa nafasi tatu juu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara kutoka nafasi ya 10 hadi ya nane

Israel. Mtoto aliyeokolewa kutoka tumboni mwa mama yake aliyekuwa mahututi baada ya shambulizi la anga la Israel kusini mwa Gaza amefariki dunia. Mtoto huyo wa

HESABU za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania kwa Yanga zipo mikononi mwa Coastal Union Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi huku wagosi

Dodoma. Ili kuuenzi vema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Serikali ya Tanzania imeshauriwa kuweka somo hilo, litakalofundishwa shuleni kuanzia ngazi za chini katika pande zote

SHIRIKISHO la Soka Ulaya (UEFA) lina sheria na taratibu za kuhakikisha kuna nidhamu ya mapato na matumizi miongoni mwa nchi wanachama wake ikiwa ni pamoja