Kibaha. Katika kuhakikisha kampeni ya upandaji miti inaendelea nchini, Serikali kupitia Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imezishauri taasisi mbalimbali
Category: Habari

Lagos. Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Mwambapa, ametajwa kuwa Kiongozi anayeongoza kwa uwezeshaji Barani Afrika katika hafla ya tuzo za kutambua wanawake mashuhuri

Na WAF, KILIMANJARO Msajili wa Baraza la Optometria Sebastiano Millanzi, ameonya baadhi ya wataalam wa optometria wanaojitambulisha kwa cheo cha “Daktari” kuwa ni kinyume cha

Unguja. Waziri wa Afya Zanzibar, Ahmed Nassor Mazrui amesema utafiti uliofanywa na wizara hiyo kwa kushirikiana na taasisi nyingine, kuhusu viashiria hatarishi na ufuatiliaji wa

NA MWANDISHI WETU, KIBAHA SERIKALI imeipongeza Benki ya NMB kwa kutenga kiasi cha Sh. Mil. 225 kwa ajili ya kuzawadia Shule Bora katika Kampeni ya

Kisarawe. Tanzania iko mbio kuacha kuagiza vipulizi na baruti kutoka nje ya nchi. Kila mwaka Tanzania inaagiza vilipuzi milioni 10 na tani 26,000 za baruti

Bagamoyo. Wakati Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) ikija na mfumo wa kidijitali wa ununuzi wa umma (Nest), mamlaka hiyo imewasihi wazabuni wazawa

Geita. Mahakama ya Wilaya ya Geita imemuhukumu kifungo cha miaka mitano jela, pamoja na kulipa faini ya Sh1 milioni baada ya kutiwa hatiani kwa kosa

Dar es Salaam. Wakati takwimu zikionesha takriban hekta 460,000 za misitu zinapotea nchini kwa mwaka, wanaojihusisha na shughuli za uharibifu ikiwemo kukata miti wameonywa na

Musoma. Uwanja wa ndege wa Musoma unaokarabatiwa na kujengwa gharama ya zaidi ya Sh35 bilioni sasa unatarajiwa kukamilika Septemba mwaka huu baada ya ujenzi huo